Showing posts with label KISWAHILI FORM 1. Show all posts
Showing posts with label KISWAHILI FORM 1. Show all posts
Maana ya Matamshi
Elezea maana ya matamshi
Matamshi ni namna ambavyo mtu anatamka neno au jinsi mtu anavyozungumza lugha. Unaposema fulani ana matamshi mazuri ya Kiswahili utakuwa unamaanisha anazungumza Kiswahili fasaha.

MAWASILIANO (Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili)

Mawasiliano ni mchakato wa kuhawilisha taarifa kwa njia ya ubadilishanaji wa mawazo, hisia, malengo, tabia, matarajio, mitazamo kupitia mazungumzo, ishara na maandishi.

MAWASILIANO (Lugha kama Chombo cha Mawasiliano)